Saturday, July 24, 2010

I AM BACK

Friday, August 17, 2007

MTN



Tukila pozi na rafiki yangu bwana Frederick Fiifi Owusu kulia kutoka Ghana, wote tupo MTN. Na AIESEC ndiyo inayotukutanisha kama hivi.

TAMBAZA



Unawakumbuka hawa?
Posted by Picasa

Tuesday, August 14, 2007

CAMEROON


Moja ya vitongoji vya hapa Cameroon kinavyoonekana. Bado swala la mipango miji ni tatizo kwa nchi zetu nyingi za Afrika.
Posted by Picasa

21 DAYS OF YELLO CARE



Haya tena, ile programu ya 21 days of yello care bado inaendelea, kwa wasiofahamu program hii ni katika kusaidia jamii isiojiweza kwa kuwapatia misaada mbali mbali, kama kampuni inajitolea kurudisha fadhila kwa jamii wanayoitumikia.
Posted by Picasa


Baadhi ya wafanyakazi wa MTN wakiendelea kujitolea kupaka rangi ubao, yote haya ni katika 21 days of yello care.
Posted by Picasa

Thursday, August 9, 2007

WORDS

Posted by Picasa